Monday, July 20, 2015

Anonymous

30 PICHAZ: Nani Alipendeza Zaidi Kwenye Red Carpet ya MTV MAMA?

Vilikuwa ni vita vya fashion kati ya mastaa wa Marekani na Afrika waliokutana kwenye red carpet ya tuzo za MTV MAMA, Jumamosi iliyopita. Lakini ni nani alipendeza zaidi?
11221616_397435030458772_6318290804167845744_o Mshindi wa tuzo ya Best Live Act, Diamond Platnumz
11713694_397435620458713_1473135506175353671_o Vanessa Mdee alikuwa akiwania tuzo ya Best Female Act iliyoenda kwa msanii wa Nigeria, Yemi Alade
10506995_397434907125451_5057091233063774162_o Msanii wa Afrika Kusini, Bucie
11412052_397436000458675_6585431594506076246_o Muimbaji wa Marekani na mmoja wa wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo, Jhene Aiko
11731712_397435083792100_2637460072936816651_o Mshindi wa tuzo ya Best Female Act, Yemi Alade
10668969_397435963792012_2215287799862213253_o Mshindi wa tuzo ya Best Male Act, Davido 11224336_397435583792050_664550616165739821_o Wasanii wa kundi la P-Square, Peter and Paul Okoye
11227932_397435630458712_3983754624984792928_o Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest 11731674_397434903792118_8090010508911901382_o Host wa tuzo hizo, mchekeshaji wa Marekani, Anthony Anderson
11754774_397435580458717_8537591890209257668_o Mrembo wa Afrika Kusini, Boity Thulo
11752472_938850749520441_2173484715556943155_n Cassper Nyovest na Boity
11741161_397435230458752_8839479528666384357_o Msanii wa Uganda, Bebe Cool 10499469_397435363792072_3700399458393972618_o Rapper wa Afrika Kusini, AKA
10504882_397435800458695_5302917792441241090_o Msanii wa Nigeria, Patoranking
905790_397435567125385_625280035094372989_o Rapper wa Nigeria, Phyno
11703471_397435243792084_1155093049051822900_o Mtangazaji wa MTV Base, Nomuzi
11741004_397435233792085_8105269184153637054_o Muimbaji wa R&B wa Marekani, Ne-Yo
11412052_397434900458785_2662399788042140572_o 2 Face
11741272_397435077125434_8629234531290599045_o Rapper wa SA, KO
11745405_397435997125342_5839360490240417579_n Kundi la Kenya, Sauti Sol
10380514_397435220458753_8646959595534849492_o Msanii wa Ghana, Stone Bway
1800271_397435817125360_7934572045216866570_n 11105180_397435387125403_7173850868904542623_o Rapper wa SA, Khuli Chana
11112900_397434890458786_2128068142134019742_o Rapper wa SA, Ricky Rick
11222619_397435803792028_4830568313895223470_o
11709856_397435553792053_2867035579965241609_o Mrembo wa SA, Pearl Thusi
11713687_397435373792071_7866277818285409928_o Rapper wa SA, Da Les
11754879_397435377125404_2672287128728806496_o
11779777_397435397125402_6621199018583248916_o Msanii wa Nigeria, Seyi Shay
11779877_397435823792026_3177473628540426399_o Mkurugenzi wa Viacom International Media Networks Africa,Alex Okosi
11754883_397435607125381_7900709890187441648_o Msanii wa Nigeria, Flavour
Picha: MTV Base

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.