Msanii wa Afrika Kusini, Donald aliyemshirikisha Diamond kwenye
collabo waliyoipa jina la kiswahili ‘Wangu’, amewaomba radhi mashabiki
waliokuwa wakitarajia video na audio ya wimbo huo ambao awali ulipangwa
kutoka Ijumaa iliyopita 17/07/2015.
Donald aliandika Instagram kuwa watatoa taarifa ya lini video hiyo itatoka.
“Announcement: Apologies to all the fans. Due to some
unforseen circumstances theres been a slight delay on the release of the
“Wangu” video with my brother @diamondplatnumz We will update everyone
soon. THANK YOU FOR YOUR UNDERSTANDING. WE LOVE YOU GUYS”- donaldindenial
Video hiyo imeongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films ya Afrika
Kusini, aliyefanya video ya ‘Nusu Nusu’ ya Joh makini na ‘No Body But
Me’ ya Vanessa Mdee.
Note: Only a member of this blog may post a comment.