Sunday, July 12, 2015

Anonymous

UKARIBU WA INI EDO, JIM IYKE MMH!


Staa wa Nollywood, Ini Edo.
Lagos Nigeria
LICHA ya kutambulika kuwa hawana uhusiano wa kimapenzi, lakini ukaribu wa waigizaji wa Nollywood, Ini Edo na Jim Iyke umesababisha tetesi kuenea kuwa wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi au wanaelekea wenye ulimwengu huo.
Waigizaji wa Nollywood, Ini Edo na Jim Iyke wakiwa kwenye pozi.
Wiki hii, Ini Edo alipiga picha akiwa na Jim na kuandika maneno ya kumsifia na kusema kuwa anapokuwa naye wakati wa kuigiza anajisikia furaha sana kwa kuwa wanaelewana.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.