Friday, July 24, 2015

Anonymous

TAHARUKI DAR! Abiria Wajeruhiwa Kwa Kisu Ndani ya Daladala, Mhusika Auawa na Wananchi!

Mtu mmoja aliyekuwa abiria ndani ya daladala lililokuwa likitoka mjini kuelekea Makumbusho amewashambulia kwa kisu abiria kadhaa ndani ya gari maeneo ya Magomeni na kuwasababishia majeraha makubwa, majeruhi wote wamekimbizwa Mwananyamala. Mshambuliaji huyo ameuawa na wananchi wenye hasira. Hadi sasa haijafahamika nini lililkuwa lengo la mshambuliaji.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.