Soudy Brown kazungumza na Linah Sanga
kuhusu mpenzi wake wa sasa ambaye amejichora tattoo, mweyewe amesema
mpaka sasa wana muda wa mwezi mmoja tangu wajuane na alichora tattoo
hiyo ikiwa ni wiki mbili tu tangu wajuane.
Linah amesema kwa mara ya kwanza walikutana kwenye mgahawa wa News Cafe, wakabadilisha namba na baada ya hapo mawasiliano yao yakaendelea.
Anasema baada ya kugundua amechorwa
tattoo yake alijisikia furaha kwa kuwa kitendo cha mtu kujichora
tattoo ya mtu mwingine ni maamuzi magumu sana na inaonesha mapenzi ya
kweli kwa kuwa ilikua ni wiki mbili tu tangu wafahamiane.
Msikilize Linah mwenyewe hapa akimpa hizo story Gossip Cop.

Note: Only a member of this blog may post a comment.