Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Saturday, July 25, 2015
Anonymous
PICHAZ: Wema SEPETU Akiwa Kwenye Harakati za Ubunge Huko Singida!
Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu zinazo
‘trend’ leo hii mtandaoni kwa hapa bongo zikimuonyesha staa huyu
aliyetitos kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum kupitia chama cha
mapinduzi CCM mkoa wa Singida.
Note: Only a member of this blog may post a comment.