Wednesday, July 29, 2015

Anonymous

Mtoto wa Rais Gaddafi ahukumiwa kunyongwa!

Saif_Gaddafi_Zinta_2934739b
Saif al-Islam Gaddafi.
SAIF al-Islam Gaddafi ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Muammar Gaddafi, amehukumiwa kunyongwa katika mahakama moja nchini Libya pamoja na watu wengine nane kufuatia uhalifu wa kivita uliohusishwa na mapinduzi ya mwaka 2011.
Saif-al-Islam_2038118b
Watuhumiwa hao walikuwa wameshtakiwa pamoja na washirika wengine wa kiongozi huyo aliyeondolewa madarakani kwa kujaribu kuzima maandamano wakati wa mapinduzi hayo.
t1larg.saif.al.islam.cnn
Saif al Islam, ambaye kwa sasa anazuiliwa na kundi moja la waasi la zamani katika Mji wa Zintan hakuwepo mahakamani na alitoa ushahidi wake kupitia teknolojia ya kanda ya video.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.