Brighton Masalu STAA ‘mtulivu’
wa uigizaji Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameibuka na kudai kuwa kama
mwanamke aliyekamilika, anasikitishwa sana kwa kutopata mtoto hasa
kutokana na kunyoshewa vidole na maneno mengi juu ya suala hilo.
“Lakini wakati wa Bwana haujafika maana siwezi kuwa na mtoto bila ndoa, na wakati huo bado haujafika, unajua watu wananishangaza kwa kuninyooshea vidole kuwa sizai, natamani sana na Mungu atanipa kwa wakati wake,” alisema Mainda.

Note: Only a member of this blog may post a comment.