Monday, July 13, 2015

Anonymous

KISA DK. MAGUFULI! Hatimaye LULU Atolea Ufafanuzi ‘Kijembe Tata’ Alichoandika Twitter

Baada ya muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Elizabeth “Lulu” Michael kuandika tweet iliyotafsiriwa kuwa huenda ni kijembe kwa mrembo fulani, amefafanua alichokimaanisha.
Lulu2
Lulu amesema kuwa alichokiandika kwenye post hiyo ilikuwa ni utani, na wakati huo huo kukubali kuwa inaweza kuwa na ukweli ndani yake.
KISA MAGUFULI KUCHAGULIWA KUIWAKILISHA CCM URAIS 2015 
“It was a joke, but sort of ukweli pia kwa sababu mara nyingi kumekuwa na dhana watu wa nje wanachukulia kama vile viti maalum ni vya kupeana” alisema kupitia The Playlist ya Times Fm.
Hiki ndicho alipost:
Lulu aliendelea kwa kusema:
“…probably watu wameichukulia kama nimemsnitch mtu, mimi siko hivyo na sinaga hayo mambo kabisa. Ni kwamba nimefanya kama utani, lakini watu wasichukulie poa kwamba kila anaewekwa pale kwamba ana sura nzuri, kila anaewekwa pale ana umbo zuri.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.