Aliekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha,Joshua Nassari
akizungumza namna alivyotekeleza ahadi zake katika kipindi kilichopita
wakati wa mkutano Mkuu wa Jimbo uliofanyika kwenye Mji mdogo wa Usa
River ambapo alichaguliwa bila kupingwa ili kupeperusha bendera ya
Chadema katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Wanachama wa Chadema wakipiga kura za maoni kwaajili ya kumchagua
mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki katika Mji Mdogo wa Usa
River,Joshua Nassari alipata kura 387 na kura 2 za hapana.
Wanachama wa Chadema wakifurahia jambo katika mkutano huo
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye alikua Mbunge wa Chadema jimbo la Karatu mkoa wa Arusha,Israel Natse(kulia)na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha,Kalist Lazaro wakimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari(kati)baada ya kutangazwa mshindi.

Note: Only a member of this blog may post a comment.