Friday, July 24, 2015

Anonymous

Exclusive: Video ya Davido Akiongea Kuhusu Ile Beef Yake na Diamond Platnumz

Davido 1 
Davido ni msanii wa Nigeria ambaye ujazo wa jina lake ulizidi kuongezeka Tanzania baada ya kufanya ‘number one rmx’ na Diamond Platnumz, wawili hawa walitaja kuwa kwenye beef baada ya Davido kuandika sentensi tata baada ya Tanzania kutangazwa mshindi wa shindano la BBA 2014.
Tazama video hiyo hapa...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.