Diamond Platnumz anatamani watu waelewe jinsi anavyompenda mpenzi wake Zari Tlale aka The Bosslady.
Wawili hao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.
Hitmaker huyo wa ‘Nana’ amepost picha kwenye Instagram inayomuonesha
akilibusu tumbo la mpenzi wake huyo na kuandika, “I wish you can
understand how Much i Love this Woman… Thanks God for the life have
always prayed for.
Msanii huyo amemaanisha, “Natamani mngeelewa jinsi ninavyompenda huyu
mwanamke. Asante Mungu kwa maisha niliyokuwa nikiyaomba siku zote.”

Note: Only a member of this blog may post a comment.