Thursday, July 9, 2015

Anonymous

DAVIDO AELEZA ANAVYOCHANGANYA NYIMBO ZAKE AKIWA NJE


Mwanamuziki nyota wa Nigeria, Davido.
MWANAMUZIKI nyota wa Nigeria, Davido, amesema ukosefu wa mafuta nchini humo uliotokea miezi ya Mei na Juni mwaka huu  ambao ulisababisha matatizo makubwa, ulimfanya alazimike kuahirisha kutoa albamu yake mpya hivi karibuni.
Akizungumza na televisheni ya Notjustok, Davido alisema pia kwamba huwa anachanganya lugha za nyimbo zake akiwa nje ya Nigeria, hususan Marekani, ambako hutegemea kupata mashabiki wengi na fursa zaidi za  kupiga shoo nyingi.
Alisema pia mahafali yake ya kumaliza chuo ambayo ilifanyika mwezi Juni pia ulikuwa kipingamizi cha kutoa albamu yake  hiyo mpya.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.