Wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwa wamefurika katika mkutano wa Chadema jana kwenye Viwanja vya Magomeni , Mwanza
Baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwasili katika Viwanja vya Magomeni jijini Mwanza.
Mbunge wa Kahama, James Lembeli aliyejiunga rasmi Chadema akitokea CCM.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana ( Chadema), Ezekiel Wenje, akiwahutubia wananchi wa Mwanza.
Tundu Lissu akiongea na wakazi wa Mwanza wakati wa mkutano huo.
Nyomi ikifuatilia mkutano wa Chadema.
Wananchi wa Mwanza wakiwa wameinua mikono juu.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia wakazi wa Mwanza.
Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika akiongea na wakazi wa Mwanza.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akihutubia umati wa wakazi wa Mwanza waliofika kwenye Viwanja vya Magomeni jana.
Umati ukifuatilia mkutano wa Chadema jana.
Lembeli na Bulaya wakifuatilia mkutano huo.
Lembeli akirudisha kadi ya CCM tayari kuchukua ya Chadema.
…Akikabidhiwa kadi ya Chadema.
Ester Bulaya akionyesha kadi yake ya Chadema.
Pipooooz
Lembeli na Bulaya wakionyesha ishara ya Chadema mara baada ya kujiunga rasmi na chama hicho.
Lembeli katika ubora wake.
Baadhi ya viongozi wa Chadema wakifuatilia mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwahutubia wakazi wa Mwanza.
Watu wote Pipoooooozzzzzz

Note: Only a member of this blog may post a comment.