Monday, July 20, 2015

Anonymous

AUDIO: Donald kaisambaza Hii na DIAMOND Platnumz Leo


Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Time hii nakukaribisha kuisikiliza hii single mpya aliyoshirikishwa na msanii kutoka South Africa Donald wimbo unaitwa ‘Wangu’.
Donald ameamua kuiita hii single jina la Kiswahili ‘Wangu’ ambao unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini, usiache kutuandikia yako maoni baada ya kuusikiliza mtu wangu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.