Monday, July 20, 2015

Anonymous

VIDEO MPYA KALI: WANGU-Collabo ya Donald wa South Africa na DIAMOND Platnumz Tayari Imetoka na Ipo Hapa Mdau!

DIMONDII
Ni leoleo Donald kaiachia audio ya huu wimbo wa ‘Wangu’ ambao kamshirikisha Diamond Platnumz… hajakawiza mambo, kaisogeza na video kabisa ili  tuenjoy vizuri.
.
Tumeziona collabo nyingi za Diamond na mastaa wa West Africa.. unatamani kujua hii ya South Africa kaifanyaje? Play hapa mtu wangu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.