Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Taarifa ya Chama cha ACT wazalendo kuhusu uvumi wa Lowasa kuhamia kwetu na kusambazwa na mitandao ya kijamii kuwa tunajiandaa kumpokea Lowasa si za kweli naomba mzipuuze.
Wanaofanya na kusambaza habari hizo wameamua kuupotosha umma. Abdallah khamis Afisa Habari ACT Wazalendo
Note: Only a member of this blog may post a comment.