Monday, July 20, 2015

Anonymous

VIDEO: AIBU! Hivi ndivyo NTV Walivyomkejeli Ray C Baada ya Kudai Anamzimia Rais Uhuru Kenyatta

Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Mashariki.
1389574_102039536812596_585469312_n
Weekend hii muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameamua kufunguka hisia zake juu ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

“Lemme tell u a lil secret about Uhuru!!!!I love this guy to death!I have had a crush on him for soooooo long!!!huwa namuota sana sana!!!!I love everything about him!His Attitude, His accent!Total Package,” aliandika Ray C.

Ujumbe huo umepokelewa kama moja ya vituko vilivyotokea hivi karibuni hasa ukizingatia kuwa Uhuru ni mume wa mtu. Kituo cha runinga cha NTV kiliipa nafasi habari hiyo kwenye taarifa yake ya habari ya saa tatu usiku:
Waweza icheki video hiyo kwa kubonyeza play au download hapa!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.