Saturday, June 20, 2015

Anonymous

VIDEO+12 PICHAZ: Ndoa iliisha baada ya miaka 12, mume akaona kila kitu wagawane nusunusu..Shuhudia Ilivyokua hapa!

Ni kama utani hivi.. eti kweli ikitokea ndoa inaisha alafu Mahakama ikaamua kila kitu mgawane nusunusu, hiyo nusu yenyewe ndio inakuwa kwenye mtindo huu??

Der Juli ni jina la Mjerumani mwingine kwenye Headlines baada ya kuingia mtandaoni na kutangaza kwamba anauza hivi vitu ambayo wamegawana nusunusu na mkewe baada ya ndoa kufikia mwishoni.

Cheki pichaz za vitu vyewewe sasa !!

Hii ni laptop ya Apple, hapo ndio imeshagawanywa nusu yani!

Hili ni sanduku la barua, na lenyewe limegawanywa tayari.

iPhone nayo haikuachwa.

Gari ndogo ya kutembelea, Opel Corsa nayo iko nusu hapo.

TV ya Samsung nayo iko nusu.

Mdoli nao ulikutwa na huu mkasa wa kugawanywa nusu !!

Viti vya kukalia.

Helmet ambayo inavaliwa kichwani ukiendesha pikipiki


Hapa chini kuna video wakati jamaa yuko busy kabisa anagawanya vitu...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.