Tuesday, June 2, 2015

Anonymous

VIDEO: RONALDINHO Afunga Goli la Maajabu Kwenye Fainali Huko Mexico

Santos imetwaa uchampioni wa ligi ya Mexico maarufu kama Clausura pamoja na kupoteza mchezo wao dhidi Queretaro kwa mabao 3-0.

Santos walitawazwa mabingwa baada ya kushinda jumla ya mabao 5-3 kwenye fainali iliyochezwa kwa michezo miwili.
Ronaldinho alifunga moja lililokataliwa na mwamuzi baada ya kumpokonya golikipa mpira wakati akijiandaa kuupiga.
Liangalie bao hilo hapa chini!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.