Thursday, June 25, 2015

Anonymous

VIDEO: BETHIDEI YA LIONEL MESSI...FC BARCELONA WAME-POST VIDEO HII AMBAYO HAIJAWAHI KUONEKANA!


Na Baraka Mpenja
Supastaa wa Barcelona na mchezaji anayesadikiwa kuwa mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, Lionel Messi leo tarehe 24/6 anasherekea siku yake ya kuzaliwa ya mwaka wa 28. 

Messi ameshinda makombe 24 , kama sehemu ya kumuunga mkono siku hii muhimu, Barcelona imechapisha video ambayo haijawahi kuonekana ikimuonesha alipokuwa anacheza mpira akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kujiunga na Akademi ya La Masia.
Angalia video yenyewe hapa chini;

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.