Thursday, June 25, 2015

Anonymous

MCHEZAJI ALEXIS SANCHEZ ATUPIA BONGE LA SOMO INSTAGRAM!


Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez amewapa ujumbe mashabiki ambao wana matumaini ya kufikia ndoto zao.
Sanchez ame-post picha yake ya utotoni kwenye ukurasa wake wa Instagram inayoonesha kwamba alikuwa na ndoto ya kuwa mcheza soka.

Amewaambia wafuasi wake "Usiruhusu mtu yeyote akaiba ndoto zako....endelea kupambana" .
Baada ya maneno hayo akatupia picha yake ya utotoni alipokuwa Buenos Aires.
Straika huyo alianza kucheza soka katika klabu ya Cobreloa ya Chile na sasa anaichezea Arsenal kutokea Barcelona, lakini aliwahi kukipiga Udinese.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.