Kupitia ukurasa wake kwenye mtanndao picha wa Instagram, muigizaji,
mtangazaji na meneja wa Wastara Juma, Bond Bin Sinnan Aliweka picha hiyo
hapo juu ya wastara na kuandika ujumbe huu;
Katika dunia hii hakuna jambo gumu na ghali sana kulipata
kama furaha, maana binaadamu tumejaa chuki, fitina, roho mbaya na pia
wivu.
Yatupasa kuomba usiku na mchana mungu atujaalie kuwa karibu na watu wa kutupa furaha
Na ukiipata furaha itunze kama pumzi unayovuta kwani hujui ni saa ngapi mungu ataichukua. @wastara84
Yatupasa kuomba usiku na mchana mungu atujaalie kuwa karibu na watu wa kutupa furaha
Na ukiipata furaha itunze kama pumzi unayovuta kwani hujui ni saa ngapi mungu ataichukua. @wastara84
Nadhani ujumbe umeeleweka.
Mzee wa Ubuyu

Note: Only a member of this blog may post a comment.