Monday, June 22, 2015

Anonymous

HABARI PICHA: Baraza kuu la waislamu Tanzania (BAKWATA) lamteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti mpya

Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) asubuhi ya leo limemteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya wa muda.
CIFutL-WgAAVu-D
Sheikh Zuber atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (siku 90) kuelekea katika uchaguzi wa kumpata atakayerithi nafasi hiyo kwa mamlaka kamili.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.