Saturday, June 20, 2015

Anonymous

NGOMA MPYA: AY – El Capo (Prod by Marco Chali)

AY ametumia dakika 1 na nusu kuthibitisha kuwa bado ukali wake wa rap ya haraka aka tongue twist upo pale pale. Msikilize kwenye ngoma hii fupi iitwayo El Capo ambalo ni jina lake lingine la utani. Jokate Mwegelo anasikika pia kwenye production hii ya Marco Chali...
Sikiliza au download ngoma hiyo hapa chini mdau...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.