Sunday, June 21, 2015

Anonymous

LOWASSA HASHIKIKI, HAKAMATIKI! Avunja Record Yake Tena, Elfu 58 Wamdhamini Iringa....

Ni katika Safari ya matumaini...!!!
Tulidhania Singida record yake ya wadhamini elfu 22, isingevunjwa, ila Moshi wakavunja kwa wadhamini 33 elfu, siku moja baadae, rekodi ya Moshi ikavunjwa na Mbeya kwa kupata wadhamini 53 elfu...!!!

Jana Iringa, wameweka rekodi mpya ya kutisha, wadhamini 58 elfu...!!!!
Kama hujui kusoma, picha huoni...!? Kama kipofu, huwezi kusoma pia, SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU, si unasikia CCM ikichanja mbuga na Lowassa...!!! Chagua Lowassa 2015...!!!

Tuhuma zote dhidi yake zimegonga mwamba kwani ni propaganda na uzushi, kwani Vyombo vyote halali vya Dola....������������

PCCB, COURTS, DPP, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI YA UMMA na KAMATI YA MAADILI YA CCM.... hajawahi kutuhumiwa achia mbali kushtakiwa ktk maisha yake ya utumishi...!!!

Pia anapendwa na makundi yoooooote....Waalimu na wafanyakazi, wafugaji, wakulima, wavuvi, masheikh, maaskofu, wakristo, waislam, bodaboda, machinga, UVCCM, BAVICHA, UWT, Umoja wa Wanawake CCM, CCM NEC, Wafanyabiashara wakubwa, wasio na dini, Albinos etc etc...!!

So we made our hearts and minds, we go with Lowassa 2015...!!!
Walioiba mali ya umma jiandaeni...!! Mnajua shughuli ya Lowassa...!!!
CCM thru LOWASSA 2015 ndio chaguo sahihi...!!!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.