HIVI NDIVYO KOCHA MKUU WA TAIFA STARS, MAART NOOIJ ALIVYOFUKUZWA RASMI NA TFF!
Kamati
ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao
chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya
Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na kuhudhuria mchezo kati ya
Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmini ya mwenendo wa timu.
Kamati ya Utendaji kwa kauli moja imeamua yafuatayo;
1. Ajira ya Kocha Mkuu Maart Nooij inasitishwa mara moja kuanzia Juni 21, 2015.
2. Benchi lote la ufundi la Taifa Stars limevunjwa kuanzia Juni 21, 2015.
3. Uongozi wa TFF utatangaza punde benchi jipya la ufundi la timu ya Taifa.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.