Usafiri wa Boti ndio kiungo muhimu cha Dar na Zanzibar, watu wengi
wanautegemea usafiri huu mtu wangu.. Good news kwa wasafiri wote
DAR-ZANZIBAR !!
Boti nyingine tayari imeshushwa kwenye maji Zanzibar na time yoyote
itaanza safari kati ya Dar na Zanzibar, ninazo pichaz zikionesha Boti
hiyo ilivyoshushwa toka Australia.
Pichaz zote nimezitoa hapa >>> MICHUZI BLOG

Note: Only a member of this blog may post a comment.