Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, June 19, 2015
Anonymous
EDWARD LOWASA HANA HABARI ACHOMA NYAMA BAADA YA UDHAMINI MNONO
Waziri mstaafu Edward Lowasa leo amekula nyama ya kuchoma akiwa eneo la Mombo,Korogwe Tanga akijipongeza kwa mapokezi na udhamini mnono wa wananchi wanao muhitaji awe rais.
Safari ya matumaini lazima watanzania tujipooze na nyama choma!
Note: Only a member of this blog may post a comment.