New York,Marekani
STAA wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ sasa anachekelea ‘jino la mwisho’ baada ya kukubali kutoa mkwanja wa matumizi ya mtoto wake, Royalty.
Chris aliamua kukubaliana na mama mtoto wake, Nia Guzman kwa kumtumia kadi ya bethidei sambamba na ‘cheki’ ya dola 5,000 (milioni 10 za Kitanzania) kwa ajili ya matumizi ya mtoto wake na kufanya hivyo kutamfanya awe anamuona mtoto wake mara kwa mara.
Awali Nia alikuwa akigombana na Chris juu ya malezi ya mtoto wao huyo na kumkataza kumuona huku akitaka apewe pesa nyingi ya kumlea kutoka dola 2,500 (sawa na shilingi milioni 4 na nusu za Kitanzania) hadi 15,000 (sawa na shilingi milioni 28 na nusu za Kitanzania) kwa mwezi.

Note: Only a member of this blog may post a comment.