Saturday, May 2, 2015

Anonymous

WEMA SEPETU ALIPA KISASI KIZITO KWA ZARI NA DIAMOND PLATINUMZ!

Yakiwa yamebakia masaa machache tu baada ya ile party iliokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar.
Pati ambayo iliandaliwa na Zari aka Mrs Chibu Dangote pamoja na mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu bwana Diamond Platnumz aka Chibu Dangote…

Madam Wema Sepetu nae akaona alipize kisasi kwa kwenda kufaya party yake jijini Mwanza kesho May 2nd, Jembe ni Jembe Club, akiwa na Mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan. Kukiwa na fununu kwamba kwa sasa kishkwambi kipya cha Milionea mtoto huyo ni Wema Sepetu.. Je tutegemee drama jipya mjini?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.