Tuesday, May 26, 2015

Anonymous

PICHAZ GUMZO: Usihukumu Chaguo Langu Kabla Haujaelewa Sababu Zangu -RAY KIGOSI

Picha hapo juu ni staa mkongwe wa Bongo Movies Vicent Kigosi ‘Ray’akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans amebnaye pia ni staa wa Bongo Movies.
Ray alibandika picha hii kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram na kuadika “don't judge my choice before understanding my reasons”. 

Mafuriko ya LIKES na COMMENTS kwenye picha hii ndio yamenifanya niileta hapa ili nawe mdau usafishe macho.
Mbali na ujumbe mzito aliondikwa kwenye picha hii, wawili hawa kiukweli wametokelezeaaaa.Neno moja kwao.
Mzee wa Ubuyu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.