Duka la simu na vifaa vya
kielectronic la Palace Mobile lililopo mitaa ya Posta jijini Dar es
Salaam limevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo. Majambazi hao
wamefanikiwa kupora simu, fedha na vitu kadhaa vya kelectronic ambavyo
thamani yake bado haijafahamika mpaka sasa.
Pichani wanausalama wakiwa eneo la tukio.
(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO LOLOTE SHARE NASI KUPITIA NAMBA HIYO)
Note: Only a member of this blog may post a comment.