Tuesday, May 26, 2015

Anonymous

MSIBA: MZEE SAMUEL LUANGISA AFARIKI DUNIA JIJINI NEW YORK


Mzee Samuel Luangisa enzi za uhai wake.
Jumuiya ya Watanzania New York pamoja na Familia ya Luangisa tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu Mzee Luangisa kilichotokea jana Jumatatu Mei 25,2015 saa tano asubuhi.
Msiba utakuwa nyumbani kwa Bwana Peter Luangisa,374 Hawthorne Terrace, Mount Vernon. NY,10552. 

Uongozi wa Jumuiya New York unatoa pole kwa wafiwa na Kama ilivyo Desturi yetu wanajumuiya tuungane na wafiwa katika kipindi hiki kigumu kuwafariji pamoja na kumuombea dua Mzee wetu. 

Luangisa na Kwame Luangisa. Bank ni Bank of America. Account# 9504210977. Routing# 021000322. Swift code ni BOFAUS3N. Mnaweza vile vile kutumia namba za simu kuwafariji wenzetu.
Peter Luangisa 917-681-6971. Kwame Luangisa 914-645-9104,
Mao Luangisa 917-709-6889. Rose Luangisa.
914-720-7179. Simu ya nyumbani ni 914-664-6817.

Bwana ametoa na Bwana Ametwaa.
Uongozi NYTC

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.