Thursday, May 14, 2015

Anonymous

MAHABA NIUE: Jini Kabula Atulizwa na Mpenzi Wake!

Baada ya kuachana na mwanamuziki Ruta Bushoke ‘Bushoke’, staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kudai kwamba mpenzi wake mpya hataki aende kwenye kumbi za starehe.

Kabula bila kumtaja mpenzi wake huyo mpya, alidai kwamba amekatazwa na hatakiwi kuzungumzia habari za kwenda kwenye kumbi za starehe.
“Nimeamua kupunguza kwenda kwenye kumbi za starehe kwa sababu niko bize na mpenzi wangu na pia kwa sasa naandika filamu na nyimbo kwa ajili ya mradi wangu mpya wa hivi karibuni,’’ alisema Kabula.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.