Friday, May 15, 2015

Anonymous

MAGAZETI: Ninazo Dakika 20 za uchambuzi wa Magazeti leo Mei 15 mdau wangu #PowerBreakfast

pb
Wakati unajiandaa kupitia makubwa yote yaliyoandukwa na Magazeti ya Tanzania,nimeona nikutangulizie hizi dakika 20 kwanza upate kusikia kilichoandikwa na Magazeti yetu. 

Miongoni mwa stori kubwa za leo ni pamoja na isue ya mafuriko ambayo Rais Jakaya Kikwete amemuagiza mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda kuweka pampu zitakazosaidia baadhi ya nyumba kutoa maji. 
Unaweza kusikiliza haya yote kwa kubonyeza play hapo chini mdau wangu....

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.