Saturday, May 30, 2015

Anonymous

Lucy Komba: Hii Ndio Shida Kuubwa Tuliyonayo Wasanii...

SHIDA KUUBWA TULIYONAYO WASANII ukiwa na mwanaume kijana utaambiwa hufanani nae, ukiwa na mbabu utaambiwa vijana wote waliojaa mjini mbabu wa nini, ukiwa na kijana ambaye hana hela utaambiwa na umaarufu wote huo umekosa mwanaume mwenye hela, ukiwa na tajiri utasikia anasura mbaya lakini pesa sabuni ya roho, ukiwa na mzungu mzee utaambiwa huna lolote usubiri madakesi tu, ukiwa na mzungu kijana utaambiwa mzungu gani hana hela.

Sasa je tufanyaje? Tuchagulieni nyie basi wa kufanana na sie. Lakini mimi naangalia moyo wangu unavyoniambia siangalii ya binadamu hasa sisi weusi maneno hayakauki.
By Lucy Komba on Instagram

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

1 comments:

Write comments
Unknown
AUTHOR
May 31, 2015 at 7:28 AM delete

Pole mdada,! haya ya walimwengu na walimwengu ni sisi@ usjari sana usiku utafika ni lazma walale2!

Reply
avatar

Note: Only a member of this blog may post a comment.