Monday, May 25, 2015

Anonymous

KIMEELEWEKA! Mwandamindo wa Marekeani Roper Ajisalimisha kwa Diamond, Afuta Post ya Kwanza Aliyopost Kuponda na Kupost hii Hapa!



Waliomchoma chibu ndo wamezidi kumpaisha....
Kijana ni Icon wa ukweli Tanzania...Baada ya wabongo kumkomalia vilivyo mbunifu wa marekani aliyemtuhumu chibu kumuibia kazi zake, sasa ameamua kuifuta ile post yake na kutupia nyingine

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.