P-square wamerudi tena kwenye headlines za leo na ngoma yao mpya ya Afro-pop ndani yake ameshirikishwa mkongwe wa Muziki wa Congo Awilo Longomba. Nyimbo inaitwa “Enemy Solo”.
Video imetengenezwa Vtek na kusimamiwa na Clarence Peters wa Nigeria, ndani yake kuna Team ya Awilo Longomba na Team ya P-square .
Kuicheki video hio bonyeza play au download hapa chini mdau wangu....
Note: Only a member of this blog may post a comment.