Friday, May 1, 2015

Anonymous

DIAMOND Platinumz afunguka reality show yake na ZARI inakuja ‘lakini itakuwa kubwa na tofauti’

Reality TV ya couple kwenye burudani iliyo na nguvu zaidi Afrika Mashariki inakuja.
11190802_1603201569954034_836554383_n
Yes, Diamond Platnumz na Zari the Bosslady wanafikiria kuja na show yao!
“Hatutaki kufanya ionekane na sisi tunataka kufanya,” Diamond alisema kwenye mahojiano maalum na Clouds FM/TV leo.
“Lakini tutafanya kitu ambacho kitakuwa bora ambacho kama tulivyoweza kufanya vitu vingine vikafanyika vizuri hilo nalo likae sawa na kila mmoja alifurahie. Kiwe moja ya vipindi vingine ambavyo watu wanavisubiria wavitazame na kilete maslahi pia.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.