Tume
ya taifa ya uchaguzi imeshatangaza kwamba uchaguzi mkuu utafanyika
October 2015 ambapo sasa ni headlines zake zinachukua nafasi kwa watu
mbalimbali kutangaza nia za kugombea nafasi ya juu ya Urais.
Post hii inamilikiwa na January Makamba
ambae ni Mbunge wa Bumbuli Tanga na anautaka Urais pia ambapo May 30
2015 aliandika >>> ‘Wiki ijayo
tutataarifu ni lini na kwa namna gani tutazungumza na Watanzania,
kuchukua fomu, kuanza safari za mikoani kukutana na Watanzania‘
Kwenye uchaguzi huu mkuu ambako tutampata
Rais wa Tanzania kwenye awamu ya tano tayari mpaka sasa idadi ya Makada
wanaotajwa kujitosa kuwania Urais CCM inaweza kuzidi 30 sababu wengine
wanatarajia kujitokeza wiki ijayo kwa mujibu wa gazeti la MTANZANIA.
Note: Only a member of this blog may post a comment.