Thursday, May 14, 2015

Anonymous

12 PICHAZ: [SIMANZI] Tazama Mazishi ya mama mzazi wa Enock Bella mwimbaji wa Yamoto Band. #RIP

Enock Bella ni mwimbaji kutoka band ya Yamoto ambapo mama huyo alifariki jana hospitali wakati akijifungua hukohuko Zanzibar, maziko yamefanyika Zanzbar pia maeneo ya Ufufuma Chwaka jioni ya May 13 2015.

Enock 





Aslay wa Yamoto Band ni miongoni mwa waliokwenda kwenye maziko.

-Picha zote kwa hisani ya millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.