Saturday, May 2, 2015

Anonymous

12 PICHAZ: DIAMOND, SHETTA, NAY, KHADIJA KOPA WALIVYOACHA HISTORIA ZARI ALL WHITE PARTY SHOW!

Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa.
Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa akiimba sambamba na Diamond Wimbo wa Nasema Nawe.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shetta akiwarusha mashabiki waliofika katika Usiku wa Zari All White Party.
Diamond na Nay wa Mitego wakiimba ngoma yao ya Muziki Gani.
Mashabiki wakijiachia.
Diamond Platnumz akizikonga nyoyo za mashabiki.
Ray Kigosi na Mama Rolaa nao ndani.
Diamond akicheza na mashabiki wake.
Nyomi iliyohudhuria shoo hiyo.
Kama bado haujacheki video za show hii ya kihistoria! Tunazo hapa videos 8 za burudani hii!===>>KUZICHEKI BOFYA HAPA!
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.