Thursday, April 30, 2015

Anonymous

WEKA KANDO UNAFIKI! Kwa Hili DIAMOND Platinumz, ZARI Wametisha Mbaya!

Nimependa sana huu ubunifu wa hawa waandaaji wa hili tamasha. Mimi ni muumin mzuri wa ubunifu ktk Biashara Na pia ni mteja mdau mzuri wa entertain-business.

Kwa mara nyingine Dogo Diamond ameweka somo nyingine la ubunifu linalofaa kuigwa na wanamuziki wenzake kwa kutangaza kuwa tamasha hilo litakalofanyika Mliman city linaweza onwa na kila anaependa pasipo kulipia 50K ya kiingilio bali kwa kulipa only 3K Na ukaona kila kitu ukiwa popote dunian kupitia. Zari white party.
Mjasiriamali anapokuwa mwanamziki yupo likely kufanikiwa zaidi kimziki kuliko mwanamziki anaekuwa mjasiriamali.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.