Nimekusogezea
hapa miongoni mwa zile habari zilizopewa Headlines kwenye Magazeti ya
leo April 8, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Malawi, ameamuru kupigwa
risasi mtu atakaekutwa akimuwinda mtu mwenye ulemavu wa ngozi, madereva
Tz, wanapanga kufanya mgomo siku ya Ijumaa, SUMATRA yashindwa kutangaza
viwango vipya vya nauli kama ilivyoagizwa, utata wagubika kifo cha
Askari aliyejiua kwa kujipiga risasi Tabora.
Wadau wa bandari wamezitaka taasisi za
fedha kufanya kazi saa 24, ili kuongeza ufanisi, wakazi wa Mwenge
waiomba Serikali kuwapatia huduma ya kituo cha abiria, radi nyingine
yaua watu 3, huko Geita, muumini aliyeingia na bastola Kanisani
aachiliwa kwa dhamana na Askofu asema anatamani kumpiga Waziri kwa
kushindwa kuzuia malori yanayoharibu barabara.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza uchambuzi wa story zote za leo…
-via millardayo

Note: Only a member of this blog may post a comment.