Thursday, April 30, 2015

Anonymous

VIDEO+PICHAZ: ZARI Akijiachia Kitandani Chumbani Kwa Diamond Platnumz!


Kwenye hii post aliandika ‘State House tym Hii..’
Super star kutokea Tanzania Diamond Platnumz usiku wa April 29 2015 aliamua kuonyesha upande mwingine wa nyumba yake aliyoijenga Dar es salaam ambapo alipost post zaidi ya moja kwa kile kinachoonekana kuwa ni baada ya kukasirishwa na comment ya follower wake Instagram.


Post iliyofata baada ya hii aliandika ‘Crazy Us …Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea…. #StateHouseByNight
Unaweza kutazama hizi video fupi hapa chini uone alichoonyesha.

A video posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on
Post iliyofata pia alionyesha chumba chake tena na mrembo Zari akiwa kitandani na kuandika ‘Sasa si uniunfollow kama Nakukera.. hupendi halaf bado Umeng’ang’ania tu Kwenye Page yangu….Utaja kufa kwa Hasira bure’ 
Post ya mwisho aliyoiweka ni hii hapa chini aliyoambatanisha na maneno yake ‘Nimemuuliza “unanita” kasema Ndio!… nije? kasema “Njoo”… siju niiweke inayofata au??? ‘
A video posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on
Diamond na mpenzi wake Zari the boss lady wataenjoy na Watanzania kwenye #ZariAllWhiteParty Mlimani City Dar es salaam ambapo mastaa kibao watakuwepo akiwemo rapper A.K.A wa South Africa na Shetta.
Diamond na Zari

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.