HEADLINES leo kuanzia kwenye TV kubwa
duniani.. radio, magazeti.. mitandaoni.. ishu kubwa kwenye michezo ni
ushindi wa nguvu waliopata Real Madrid..Ile Real Madrid VS Granada… matokeo yakawa 9-1.
Cristiano Ronaldo
nd’o jina la mchezo, kwenye hizo goli 9 zake pekeake ziko 5 yani..
labda hukumuona jamaa akiyapachika hayo magoli 5 wavuni.. nakusogezea
kipisi cha hii video uone hizo goli zote Ronaldo alivozisogeza wavuni mtu wangu.
Ronaldo anaendeleza ukali wake, ana jumla ya magoli 47 katika mechi 11, watu wakamlinganisha na Messi eti.. yeye ana goli 43 katika mechi 41.. Ronaldo yuko kifua mbele kwa goli nne mdau.

Note: Only a member of this blog may post a comment.