Punyeto
( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe
kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume.
Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye
umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao
wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao,
na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto. Uzoefu
unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza
katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na
tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na
wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa.
Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u nakadhalika.
ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.
Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayo fanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu. Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.
MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayo muudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka . Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu wa kiume wa marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE )Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni. Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "
Umeona! Kumbe basi adhabu ya kiroho ya tendo la masturbation ni “umauti!”. Umauti huo unaweza usiwe kama ulio mpata Onan, ila unaweza kuja katika sura tofauti. Mfano kufa kwa nguvu za kiume, ni adhabu tosha sana kwa mwanaume yoyote yule duniani na inaweza kuwa kali kuliko hata ile aliyopewa Onan.
DAWA YA ASILI NA YA UHAKIKA YA KUKUFANYA UACHE KUFANYA PUNYETO.
Uzoefu unaonyesha, mtu anayepiga punyeto, hata kama ameathiriwa na tatizo la punyeto kwa kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo, mtu huyo hatopiga tena punyeto katika siku zote za maisha yake kwani tayari mtu huyo atakuwa amerudia katika hali yake ya kuto kuwa addicted tena na upigaji punyeto, na atalichukia kabisa hata jina la tendo hilo achilia mbali tendo lenyewe.
UFANYE NINI ILI USIPIGE PUNYETO KWA MUDA WA SIKU AROBAINI MFULULIZO!
Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia kupiga punyeto kwa siku mbili lakini baada ya hapo ataendelea tena na mchezo wako.
ATUMIE DAWA IPI?
PILIPILI
Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayo pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).
MATUMIZI

Kwanza kabla ya
kujua matumizi ni vyema
ukatambua muda ambao
huwa unapiga punyeto
( Mara nyingi
huwa ni asubuhi
baada ya kuamka,wakati
wa kuoga ama
usiku kabla ya
kulala ).
Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye
viganja vya vidole
vyako na kujipakaza
katika viganja vya
vidole vyako. Unaweza kutumia
pili moja kwa
kila kiganja, na kwa
kila muda ambao
huwa unapiga punyeto
lakini unaruhusiwa
kujipakaza zaidi ya
pilipili moja.
Ukishajipaka
pilipili kwenye viganja
vya vidole vyako, moja
kwa moja unakuwa
umekwisha jilazimisha kutokufanya
punyeto, kwa sababu ukipiga
punyeto kwa viganja
ambavyo vina pilipili
utawashwa sana wala
hautaweza kufurahia tendo
hilo.
JAMBO LA KUZINGATIA
: Hakikisha unakuwa na
walau pilipili mbili mpaka
nne kila unapokuwa
katika maeneo ambayo
yanaweza kukuchochea kufanya
punyeto.
UFANISI WA DAWA HII : Dawa
hii inawafaa wale
tu ambao wamedhamiria
kutoka mioyoni mwao
kuacha kufanya punyeto. Kwa
wale ambao hawajadhamiria haitaweza
kuwasaidia

Note: Only a member of this blog may post a comment.