Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Wednesday, April 8, 2015
Anonymous
PICHAZ: MTUNZI WA NYIMBO ZA DR.SLAA AMFUATA ZITTO KABWE ACT
Muhamasishaji wa CHADEMA mtunzi wa nyimbo maarufu ya SLAA ANAWEZA na nyingine ndugu MASHAKA PEPE almaarufu PEPE ameachana rasmi na CHADEMA na kujiunga na Chama cha wazalendo ACT WAZALENDO jana. amekabidhiwa kadi na mwenyekiti wa Taifa ndugu Anna Mghwira sambamba na viongozi Wengine.
Note: Only a member of this blog may post a comment.