Sunday, April 26, 2015

Anonymous

PICHAZ: MANCHESTER UNITED WALIVYOADABISHWA VIBAYA NA EVERTON LEO!

 
Kevin Mirallas akiifungia Everton bao la tatu dhidi ya Manchester United.
 
James McCarthy (kushoto) akishangilia na Romelu Lukaku  baada ya kuifungia Everton bao la kwanza.
 
John Stonesakiifungia Everton bao la pilikwa kichwa.
Mpira umekwisha, Everton wametoka kifua mbele kwa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa kwenye Uwanja wa Goodison Park. 

Mabao ya Everton yamefungwa na J.McCarthy dakika ya 5 na J. Stones dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza na
K. Mirallas dakika ya 74 kipindi cha pili. 

Vikosi:
Everton: Howard, Baines, Stones, Jagielka, Coleman, Barry, McCarthy, Osman, Barkley, Lennon, Lukaku Everton walio benchi: Joel, Kone, Mirallas, Naismith, Besic, Garbutt, Alcaraz
Manchester United: De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Shaw, Blind, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney Man Utd walio benchi: Valdes, Di Maria, Falcao, Januzaj, Van Persie, Blackett, Pereira

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.